Scan date : 19/05/2024 09:03
Day | Hour | Type Event | Name Lang | Event name | Short Event | Extended Lang | Extended Event |
19/05 | 16h00>18h00 | (0x12) adventure western war | swa | Chelsea V Afc Bournemouth | Chelsea V Afc Bournemouth | swa | CHELSEA v AFC BOURNEMOUTH |
19/05 | 18h00>18h30 | (0x12) adventure western war | swa | Habari | Habari | swa | Kipindi kikuu cha taarifa ya Habari ikiangazia matukio mbali mbali ya ndani na nje ya nchi. |
19/05 | 18h30>19h00 | (0x12) adventure western war | swa | Jarida La Wikiend | Jarida La Wikiend | swa | Kipindi maalum. |
19/05 | 19h00>20h00 | (0x12) adventure western war | swa | Mizani Ya Wiki | Mizani Ya Wiki | swa | Hiki ni kipindi cha mahojiano ambacho hufanyika kila wiki kujadili matukio makubwa ya ndani yaliyojitokeza ndani ya wiki hiyo. Hujumuisha wataalamu wa sekta mbalimbali. |
19/05 | 20h00>21h00 | (0x12) adventure western war | swa | Hello Wikiend | Hello Wikiend | swa | |
19/05 | 21h00>21h30 | (0x12) adventure western war | swa | Habari | Habari | swa | |
19/05 | 21h30>22h00 | (0x12) adventure western war | swa | Kazi Ni Kazi | Kazi Ni Kazi | swa | Kipindi hiki huangalia kazi ambazo zimedharaulika, lakini kuna watu ambao wanazifanya na zinawafanya waishi maisha mazuri. Kipindi ambacho kinahamasisha vijana kutochagua kazi, badala yake kuwa wabunifu na kufanya kazi na kufikiria nje ya mzunguko wa mazingira yao. |
19/05 | 22h00>22h30 | (0x12) adventure western war | swa | Mtaa Wa Mitindo | Mtaa Wa Mitindo | swa | Kipindi cha mitindo ambacho kinakuonyesha uhalisia kuhusu tasnia ya mitindo ya ndani ya nchi na kimataifa na huhamasisha wanamitindo wa ndani kufika viwango vya juu katika tasnia hiyo. |
19/05 | 22h30>23h00 | (0x12) adventure western war | swa | Makala | Makala | swa | The focus of the program is on Youth Enterprenuership and how youth can emancipate themselves from being depadant and become independent |
19/05 | 23h00>00h00 | (0x12) adventure western war | swa | Playlist | Playlist | swa | Hii ni programu ya muziki ambayo huonyesha aina ya nyimbo mbalimbali mpya ambazo zinatengenezwa na wanamuziki wa Kitanzania. |
19/05 | 00h00>00h30 | (0x12) adventure western war | swa | Habari | Habari | swa | Kipindi kikuu cha taarifa ya Habari ikiangazia matukio mbali mbali ya ndani na nje ya nchi. |
19/05 | 00h30>01h00 | (0x12) adventure western war | swa | Medicounter | Medicounter | swa | Hiki ni kipindi ambacho kimetengenezwa kikiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya afya na lishe na hasa katika jamii yetu ya Tanzania. Huangazia magonjwa mbalimbali yawe ya mlipuko mkubwa na yale yanayojitokeza katika jamii mmoja mmoja. Mada zake zimefanyiwa utafiti kwa umakini mkubwa na mjadala |
20/05 | 01h00>01h30 | (0x12) adventure western war | swa | Makabila | Makabila | swa | Kipindi kinachohusu makabila ya watu tofauti tofaoti, pia kufanya mahojiano na wageni mbali mbli. |
20/05 | 01h30>02h00 | (0x12) adventure western war | swa | Mtaa Wa Mitindo | Mtaa Wa Mitindo | swa | Kipindi cha mitindo ambacho kinakuonyesha uhalisia kuhusu tasnia ya mitindo ya ndani ya nchi na kimataifa na huhamasisha wanamitindo wa ndani kufika viwango vya juu katika tasnia hiyo. |
20/05 | 02h00>02h30 | (0x12) adventure western war | swa | Makala | Makala | swa | Hiki ni kipindi cha Makala ambazo huzungumzia masuala ya kiuchumi, kijamii na kisiasa au teknolojia kila wiki kutokana na maendeleo ya tukio husika wiki hiyo. |
20/05 | 02h30>03h30 | (0x12) adventure western war | swa | Playlist | Playlist | swa | Hii ni programu ya muziki ambayo huonyesha aina ya nyimbo mbalimbali mpya ambazo zinatengenezwa na wanamuziki wa Kitanzania. |
20/05 | 03h30>04h00 | (0x12) adventure western war | swa | Makala | Makala | swa | The focus of the program is on Youth Enterprenuership and how youth can emancipate themselves from being depadant and become independent |
20/05 | 04h00>07h00 | (0x12) adventure western war | swa | Morning Trumpet Live | Morning Trumpet Live | swa | Hii ni programu ya asubuhi ambayo inaangazia mambo mbalimbali yanayotokea nchini na duniani kuanzia habari za kawaida, michezo na burudani. Huangalia matukio makubwa na kuyachambua kwa. |
20/05 | 07h00>11h00 | (0x12) adventure western war | swa | Bunge 12 | Bunge 12 | swa | |
20/05 | 11h00>12h00 | (0x12) adventure western war | swa | Adhuhuri Live | Adhuhuri Live | swa | Adhuhuri Liv |
20/05 | 12h00>13h00 | (0x12) adventure western war | swa | Mizani Ya Wiki | Mizani Ya Wiki | swa | Hiki ni kipindi cha mahojiano ambacho hufanyika kila wiki kujadili matukio makubwa ya ndani yaliyojitokeza ndani ya wiki hiyo. Hujumuisha wataalamu wa sekta mbalimbali. |
20/05 | 13h00>14h00 | (0x12) adventure western war | swa | Alasiri Lounge Live | Alasiri Lounge Live | swa | Hii ni programu ya jioni ambayo hutoa habari kwa majadiliano na burudani, kwa njia ambayo haiwezi kumchosha mtazamaji. Hujumuisha habari za kawaida kutoka maeneo mbalimbali, habari za michezo na habari za Jiji la Dar es Salaam. Habari nyingine ni zile ambazo zipo kwenye mitandao ya kijamii, wasanii, wanamuziki na pia staili za maisha. |
20/05 | 14h00>15h00 | (0x12) adventure western war | swa | Watoto Shangwe | Watoto Shangwe | swa | Hiki ni programu ambayo imejielekeza zaidi kwa watoto ikiwa na lengo la kuwapa elimu, kuwahabarisha na kuwaburudisha kupitia njia mbalimbali za michezo. Kipindi hiki huanzia darasani ambapo wanafunzi. |
20/05 | 15h00>16h00 | (0x12) adventure western war | swa | Show Case | Show Case | swa | Hiki ni kipindi cha muziki ambacho huwaleta watu mbalimbali katika kuuelezea muziki wa Tanzania. Huwajumuisha wanamuziki, watengenezaji muziki, wacheza shoo, wafadhili, watengeneza video, na wataalamu mbalimbali katika tasnia ya muziki ambao huwa wana nafasi ya kuuelezea muziki kwa kina zaidi. |
20/05 | 16h00>16h30 | (0x12) adventure western war | swa | Viumbe Hai | Viumbe Hai | swa | Hii ni programu ambayo huangalia viumbe hai kuanzia wadudu mpaka wanyama wakali wafugwao na wasiofungwa. Huonyesha maisha yao, jinsi ya kuishi nao, changamoto zao na huonyesha jinsi binadamu anavyofanya kuwafanya wanyama hao waendelee kuishi hapa duniani. |
20/05 | 16h30>17h00 | (0x12) adventure western war | swa | Mtaa Wa Mitindo | Mtaa Wa Mitindo | swa | Kipindi cha mitindo ambacho kinakuonyesha uhalisia kuhusu tasnia ya mitindo ya ndani ya nchi na kimataifa na huhamasisha wanamitindo wa ndani kufika viwango vya juu katika tasnia hiyo. |
20/05 | 17h00>17h30 | (0x12) adventure western war | swa | Makala | Makala | swa | Hiki ni kipindi cha Makala ambazo huzungumzia masuala ya kiuchumi, kijamii na kisiasa au teknolojia kila wiki kutokana na maendeleo ya tukio husika wiki hiyo. |
20/05 | 17h30>18h00 | (0x12) adventure western war | swa | Medicounter | Medicounter | swa | Hiki ni kipindi ambacho kimetengenezwa kikiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya afya na lishe na hasa katika jamii yetu ya Tanzania. Huangazia magonjwa mbalimbali yawe ya mlipuko mkubwa na yale yanayojitokeza katika jamii mmoja mmoja. Mada zake zimefanyiwa utafiti kwa umakini mkubwa na mjadala |
20/05 | 18h00>19h00 | (0x12) adventure western war | swa | Habari | Habari | swa | Hii ni kipindi cha taarifa ya habari ambacho hukusanya habari za matukio yote ya siku ya ndani na kimataifa na kuyaweka katika mtindo tofauti na kuwapelekea wananchi huku kikiwa na wachambuzi mbalimbali. |